Habari za Punde

*UPINZANI WA MASHABIKI WA SIASA NI KAMA MASHABIKI WA SOKA, CCM NA CUF DUGU MOJA

Hapa vita baina ya wapinzani, mashabiki wa Vyama vya Siasa, itasubiri sana kwa hata wao wamekuwa kama mashabiki wa soka wanapokwenda uwanjani na kurudi nyumbani huitana na kupanda gari ama usafiri mmoja, japo ushabiki na upinzani wao hubakia palepale. Ndivyo ilivyo kwa jamaa hawa pichani mfuasi wa chama cha Cuf akiwa amembeba mpinzani wake mfuasi wa CCM, tena abiria ambaye ni wa CCM akiwa anapeperusha bendera kubwa bila shaka. Ama kwa hakika huu ni mfano wa kuigwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.