Habari za Punde

*USWAHILINI MAMBO YA KUPEANA UMEME NI SHEGA TU

Huku ni uswahilini mitaa ya Msasani kama inavyoonekana juu ni waya wa umeme ukiwa umekatiza njia kutoka nyumba moja na kuingia nyumba nyingine, jambo ambalo ni hatari. Tanesco waliamua kuunga kila nyumba na mita yake na kila nyumba kuchukua umeme kutoka kwenye nguzo ili kuepuka hatari ya nyumba kulipuka moto na kusababisha maafa, lakini kwa uswahilini jambo hili bado linaendelea kufanyika HII NI HATARI WAZEE WA MITA MNAONA HII KITU???

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.