Habari za Punde

*DKT. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA SIKU MBILI WA WADAU WA ZSSF

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora pia kaimu Waziri wa Fedha Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid wakiwa katika Mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kizindua mfuko wa kujichangia kwa Hiari ZVSSS na mfuko wa Mafao ya uzazi  baada ya kuufungua mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora pia kaimu Waziri wa Fedha Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF wakiwa katika Mkutano wa siku mbili  Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja sambamba na kuifungua mifuko ya kujichangia kwa Hiari ZVSSS na mfuko wa Mafao ya uzazi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi  Bi Fatma Ali Makame akiwa na Mtoto wake  mafao ya Uzazi  baada ya kuufungua mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi  Ngao Bw.Omar Mwinyikondo Mkurugenzi Utumishi na Uendeshaji Wizara ya Afya  akiwakilisha Wizara yake ikiwa ni wachangiaji  Bora wa Taasisi za Serikali wakati wa utoaji wa zawadi kwa mashirika na taasisi mbali mbali zilizochangia  ZSSF wakati ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi  Ngao Bw.Jacob Myaya Meneja wa Breez Beach Club akiwakilisha Taasisi binafsi  wakati wa utoaji wa zawadi kwa mashirika mbali mbali yaliyochangia  zaidi ZSSF alipofungua mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi cheti cha shukrani Bi Fatma Mohamed Abass akiwa mtumishi wa Awali wa ZVSSS  baada ya kuufungua mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili  ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi cheti cha shukrani Bi Raya Hamdani Khamis akiwa mtumishi wa muda mrefu wa ZSSF baada ya kuufungua mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid.Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.