Waziri wa Fedha
Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati
akiwa pamoja na ujumbe kutoka
Tanzania walipokutana na ujumbe wa shirikala fedha la kimataifa (hawapo kwenye
picha ). Kutoka kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius
Likwelile
na kushoto ni Gavana wa Benki kuu Prof. Benno Ndulu , akifuatiwa na Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania Bi. Natu Mwamba.
Waziri wa Fedha
Mhe. Saada Salum Mkuya, akifuatilia kwa makini mkutano huo wa mfuko wa
Changamoto za millenia/Chamber of Commerce Uliokuwa ukifanyika hapa mjini
Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akizungumza
katika mkutano huo wa Changamoto za Milenia/Chamber of Commerce uliofanyika
mjini Washington DC. Aliyeko nyuma ya Mhe Waziri ni Bw. Laston Msongole ambaye
ni Mtendaji Mkuu wa mfuko wa milenia wa awamu ya pili.
No comments:
Post a Comment