Kipa wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Mathlouthi aymen, akiruka bila mafanikio kujaribu kuokoa mpira uliopigwa na Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro', kwa mkwaju wa penati, katika dakika ya kwanza ya mchezo huo, baada ya Simon Msuva kuchezewa rafu katika eneo la hatari, wakati akielekea kumchungulia kipa huyo. Hivi sasa ni kipindi cha pili kimeanza.
Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Canavaro baada ya kutupia bao hilo. KWA MATOKEO ZAIDI NA PICHA ZA MTANANGE HUU KAA NASI BAADAYE


No comments:
Post a Comment