Habari za Punde

*ZITTO ALIPOUNGURUMA MKOANI SHINYANGA LEO

 Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiwahutubia wakazi wa Manispaa ya Shinyanga na vitongoji yake mjini haa leo.
Wakazi wa Mji wa Shinyanga wakishangilia viongozi wa chama cha ACT -Walipopanda jukwaani leo mchana.
Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akizungumza na watoto walemavu wenye albinism,walemavu wa macho na viziwi waliopo kwenye kituo cha kuwahifadhi cha Buhanginja Mkoani Shinyanga jana. Picha na Said Powa

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.