Hii ndiyo barabara ya Msimbazi iliyofungwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi inayojengwa hivi sasa kuanzia mzunguko wa Shule ya Uhuru hadi taa za Bakhresa.
hivi sasa tayari barabara hiyo imekamilika kwa asilimia 50 ikiwa bado kujengwa barabara za magari pembezoni na kujengea vitofari hivyo pichani.


No comments:
Post a Comment