Habari za Punde

*MASHALI AJIFUA MCHANA BARABARANI KATIKA JUA KALI KUJIANDAA KUMKABILI MPINZANI WAKE TAMBA JUMAMOSI

Kocha wa masumbwi, Haji Ngoso (kushoto) akimfanyisha mazoezi bondia Thomas Mashali,  wakati wa mazoezi yake ya mtaa kwa mtaa kwa ajili ya kujiandaa kumkabili mpinzani wake Ibrahimu Tamba, pambano linalotarajia kufanyika jumamosi Agost 29 katika uwanja wa ndani wa Taifa. Mashali anaendelea na mazoezi mazoezi hayo katika makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi Dar es salaam mchana katika jua kazi kila siku.
Wbpita njia wakimshangaa Bondia Tomas Mashali (kushoto) akielekezwa na kocha wake wakati wa mzoezi hayo. Picha na Super D

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.