Habari za Punde

*HABARI KUTOKA TFF LEO

*STARS KUWAVAA LIBYA KESHO
Baada ya kufanya mazoezi kwa takribani siku nne katika viwanja vya hoteli ya Green Park Kartepe, timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, kesho ijumaaa itacheza mchezo wa kirafiki wa mazoezi katika uwanja wa kwanza wa hoteli ya Kartepe. Fuata link chini kwa taarifa zaidi

*U-15 YAJIFUA MOROGORO
Kikosi cha wachezaji 22 wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) kilichopo kambini mjini Morogoro, kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya kombaini ya Morogoro mwishoni mwa wiki. Fuata link chini kwa taarifa zaidi


*TWIGA YAZIDI KUJIFUA ZANZIBAR
Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars) inaendelea na mazoezi kisiwani Zanzibar kujiandaa fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) zitakazofanyika mwezi ujao nchini Congo Brazzavile. Fuata link chini kwa taarifa zaidi


*RATIBA YA FDL YATOKA
Ratiba ya Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL) imetoka  ambapo itaanza kutimua vumbi tarehe 19 Agosti, 2015 kwa timu 24 zinazoshiriki ligi hiyo kutoka katika mikoa mbali mbali nchini. Fuata link chini kwa taarifa zaidi



*TFF YAMPONGEZA BAYI
Nchi ya Misri imetangaza kujiondoa dakika za mwisho kushiriki kwenye fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) kwa timu zake za Wanawake na Wanaume, fainali zinazotarajiwa kuanza kutimu vumbi mwezi Septemba nchini Congo- Brazzavile. Fuata linki chini kwa taarifa zaidi



*MISRI YAJITOA ALL AFRICA GAMES
Nchi ya Misri imetangaza kujiondoa dakika za mwisho kushiriki kwenye fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) kwa timu zake za Wanawake na Wanaume, fainali zinazotarajiwa kuanza kutimu vumbi mwezi Septemba nchini Congo- Brazzavile. Fuata link chini kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.