Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano wa mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa,
Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo Sept 8, 2015 na Maadhimisho
ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo uliofanyika kwenye Hoteli ya Blue Peal
Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya washiriki wa mkutano huo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, wakimsikiliza
Makamu wa Rais wakati akihutubia kufungua rasmi Mkutano huo leo.
Mwakilishi waWHO, akizungumza
Naibu
Waziri wa Afya, Dkt. Stephen Kebwe, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni
rasmi Makamu wa Rais kufungua Mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo Prof. Philemon Sarungi, akiwa ni mmoja kati ya Viongozi waliowahi
kuiongoza Wizara ya Afya. Sarungi alikabidhiwa tuzo hiyo , wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Waganga
Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo
Sept 8, 2015 na Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo uliofanyika
kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Katikati
ni Naibu Waziri wa Afya, Stephen Kebwe (kushoto) ni Katibu Mkuu, Wizara ya
Afya, Dkt. Donan Mmbando.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo Mhe. Anna Abdallah, akiwa ni mmoja kati ya Viongozi waliowahi
kuiongoza Wizara ya Afya. Anna alikabidhiwa tuzo hiyo, wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Waganga
Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo
Sept 8, 2015 na Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo
uliofanyika kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Katikati
ni Naibu Waziri wa Afya, Stephen Kebwe.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo Naibu Waziri wa Afya, Stephen Kebwe, kwa mchango mkubwa wa
kuiongoza Wizara hiyo. Kebwe alikabidhiwa tuzo hiyo wakati wa hafla ya ufunguzi
wa Mkutano wa mwaka wa Waganga Wakuu wa
Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo Sept 8,
2015 na Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo uliofanyika kwenye
Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Katikati
ni Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo Dkt. Deo Mtasiwa, kwa mchango mkubwa wa kuiongoza Wizara hiyo akiwa
Mganga Mkuu wa Serikali. Mtasiwa alikabidhiwa tuzo hiyo wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Waganga
Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo
Sept 8, 2015 na Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo uliofanyika
kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Katikati
ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Stephen Kebwe.
Msanii
Mrisho Mpoto, na wasanii wa kundi lake la Mjomba Band, wakiigiza kutoa ujumbe
kuhusiana na Siku ya Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo,
wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa,
Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo Sept 8, 2015
kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti Prof. Janabi, kutoka Kitengo cha Moyo Muhimbili kwa kutambua mchango
wake akiwa ni miongoni mwa watu walioshiriki Jitihada ya kudhibiti Janga la
Ugonjwa wa Ebola Afrika Mashariki. Janabi alikabidhiwa Cheti hicho wakati wa
hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa
Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa,
ulioanza leo Sept 8, 2015 na Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa
Chanjo uliofanyika kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Katikati
ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Stephen Kebwe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi na washiriki wa mkutano huo mara baada ya kuufungua leo.

No comments:
Post a Comment