Rais wa cha cha walimu Tanzania, Gration Mukoba, akizungumza na waadishi wa habari
ofisin kwake leo, wakati akikanusha habari za uzushi zilizosambaa mitandaoni kuwa Chama hicho kimechuku pesa za Chama cha Mapinduzi ili kuwapa wanachama wake kwa lengo la kukisaidi chama hicho katika harakati za Uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kulia ni Ktibu Mkuu wa CWT.
Mukoba alisema kuwa hawajawahi kwenda Hoteli ya Sea Clief kama ilinavyoenezwa mitandao ni kwa lengo la kuchukua Mlungula wala kukutana na January Makamba ,Hamisi
Kigwangala,Mwigulu Nchemba na kuongeza kuwa siku hiyo tajwa ya tarehe 28-9-2015 majira ya saa 6 kamili usiku hakuwa maeneo hayo.
Baadhi ya Waadishi wa habari wakifuatilia habari ya za Rais wa CWT wakati akitoa
maelezo juu ya tuhuma zilizosambaa mitandaoni.Picha na Miraji Msala
No comments:
Post a Comment