Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa waandaaji wa Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, wakati wa hafla ya sherehe hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt. 11, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Kampuni ya Kamaka Ltd, Yusuf Manzi, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti Mkurugenzi wa Kampuni ya Kamaka Ltd, Yusuf Manzi, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Kampuni ya FBN Insurance Brokers, Fikira Ntomola, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti mwakilishi wa NSSF
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti Mkurugenzi wa Kampuni ya Sami Agencies Ltd, Lulu Mollel, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Ofisa wa Matangazo wa EPZA, Ipyana Kasuti, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Ofisa wa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Happilac, Shaihid Razak Sikka, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla hiyo, baada ya zoezi la utoaji Tuzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla hiyo, baada ya zoezi la utoaji Tuzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla hiyo, baada ya zoezi la utoaji Tuzo.











No comments:
Post a Comment