Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA HENGYANG TRANSFORMER LTD IKULU LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya Hengyang Transformer Limited kutoka TBEA ulioongozwa na Rais wa Kampuni hiyo Bw. Sun Hecheng, wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Bw. Sun Hecheng  Rais wa Kampuni ya Hengyang Transformer Limited kutoka TBEA, aliyeongoza ujumbe wa watu watano kutoka kampuni hiyo uliomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kampuni ya Hengyang Transformer Limited kutoka TBEA ulioongozwa na Rais wa Kampuni hiyo Bw. Sun Hecheng, wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.