Mjumbe
wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na baadhi ya wajumbe wa CCM kusimama na
kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki, marehemu Celina
Kombani, wakati wajumbe hao walipokutana kwa dharula jijini Dar es Salaam, jana
Okt 10, 2015 kujadili jina la mtoto wa marehemu Celina Kombani kuwania ubunge katika Jimbo la Ulanga Mashariki.
Mjumbe
wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wajumbe, baada ya kumalizika kwa kikao
cha dharula, kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam,jana
Mjumbe
waKamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman
Kinana (kushoto) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim (katikati) wakati
wakitoka ukumbini baada ya kumalizika kwa kikao cha dharula cha CCM kwenye
Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam, jana.
Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman
Kinana (kushoto) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim (katikati)
wakifurahia jambo nje ya ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba, baada ya kumalizika
Kikao cha dharula, jana
Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kulia) akiagana na Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman Kinana, nje ya Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam, baada ya kumalizika kwa Kikao cha dharula jana Okt. 10, 2015. Katikati ni Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim.





No comments:
Post a Comment