Habari za Punde

*MAKAMU WA RAISDKT. BILAL AZINDUA MRADI WA UMEME UNAOTUMIA NGUVU YA UPEPO MKOANI SINGIDA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa kuweka jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo katika kijiji cha Irawo Unyamikumbi Mkoani Singida jana Oct 06, 2015
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa kuweka jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo katika kijiji cha Irawo Unyamikumbi Mkoani Singida jana.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kati kati akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa kampuni ya Wind East Afrika Group wakati wa ghafla ya uwekaji jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo katika kijiji cha Irawo Unyamikumbi Mkoani Singida jana 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti kwenye eneo la uwekezaji wa mradi wa kuzalisha umeme kwa njia ya upepo katika kijiji cha Irawo Inyamikumi Mkoani Singida baada ya kuweka jiwe la msingi uzinduzi wa mradi huo jana

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.