Habari za Punde

*MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI J.K.NYERERE MKOANI TARIME

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kucheza ngoma ya utamaduni na wananchi wa Kijiji cha Nyamwaga kilichoko katika wilaya yaTarime kwa ajili ya kuzindua rasmi Shule ya Sekondari ya J. K. Nyerere iliyojengwa na Kampuni ya Acacia inayomiliki Mgodi wa North Mara Gold Mine 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kucheza ngoma ya utamaduni na wananchi wa Kijiji cha Nyamwaga kilichoko katika wilaya yaTarime kwa ajili ya kuzindua rasmi Shule ya Sekondari ya J. K. Nyerere iliyojengwa na Kampuni ya Acacia inayomiliki Mgodi wa North Mara Gold Mine 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijumuika na viongozi wa Mkoa wa Mara na wanachi wa Kijiji cha Myamwaga kusherehekea uzinduzi rasmi wa Shule ya J.K. Nyerere iliyojengwa na North Mara Gold Mine.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotua ya uzinduzi rasmi wa Shule ya Sekondari J.K.Nyerere katika Kijiji cha Myamwaga kilichoko Mkoani Mara.
  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa Mkoa wa Mara na wale wa Wilaya ya Tarime na wahisani waliojenga Shule ya J.K. Nyerere kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Shule hiyo iliyoko katika Kijiji cha Nyamwaga
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na wananchi mbalimbali wakati akiingia eneo la Hospitali ya Wilaya ya Tarime kwenye uzinduzi wa uboreshaji wa miundombinu katika hospitali hiyo.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara Capt. Mstaafu  Aseri Msangi na Ndugu Glorius Luoga, Mkuu wa Wilaya ya Tarime kuondoa kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa uboreshaji wa hospitali hiyo.
 Baada ya kuzindua rasmi uboreshaji wa hospitali ya Wilaya ya Tarime, Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete anapanda mti wa kumbukumbu kwenye eneo la hospitali hiyo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha na wanachuo wanaosomea uuguzi katika Hospitali ya Wilaya Tarime.PICHA NA JOHN LUKUWI.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.