Habari za Punde

*RAIS JAKAYA,WACHEZAJI 10 WAPEWA TUZO NA TASWA

 Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania, TASWA Juma Pinto, akimkabidhi Tuzo Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake Mkubwa katika kuendeleza michezo nchini wakati wa hafla maalum iliyoandaliwa na TASWA katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, jana usiku.
 Tuzokwa mwanamichezobora Mwanamke wa timu ya Jeshi.
MAJINA YA WACHEZAJI 10 WALIOPEWA TUZO JANA  KATIKA SHEREHE  YA TASWA

WACHEZAJI BORA
1; Samson Ramadhan (riadha).
2; Martin Sulle (riadha)
3; Mary Naali (riadha)
4; Kikosi cha Taifa Stars kilichocheza mechi za kufuzu CHAN 2009 (soka)
5; Mwanaid Hassan (netiboli)
6; Hasheem Thabeet (kikapu)
7; Timu ya Taifa ya gofu wanawake iliyoshika nafasi ya pili mashindano ya Afrika yaliyofanyika Abuja, Nigeria mwaka 2010.:
8; Twiga Stars:
9; Francis Cheka
10; Mbwana Samatta
Cio…
B;TUZO ZA VIONGOZI
1;  Jenerali mstaafu, George Waitara
2.  Kanali mstaafu, Idd Kipingu
3;  Dioniz Malinzi
4.  Leodeger Tenga
5. Abdallah Majura
 
C.TAASISI ZILIZOFANYA UWEKEZAJI MKUBWA WA MICHEZO
1; Said Salim Bakhressa Group
2; Majeshi
D.TUZO YA HESHIMA
1; Rais Jakaya Kikwete
 Kanali Kipingu,akipokea Tuzo
 Rais Mstaafu wa TFF, Leodger Tenga, akifurahia jambobaada ya kukabidhiwa Tuzo na Rais Jakaya.
 Francis Cheka akikabidhiwa Tuzo kwa kuwa Mwanamichezo bora aliyechukua ubingwa na Dunia kwa upande wa Boxing kwa kumchapa Mmarekani.
 Wakipokea Tuzo kwa niaba ya Mbwana Samatta.
 Abdallah Majula, akipokea Tuzo....
 Mafoto akishow love na Dadaze, Mwani Nyangasa (katikati) na 
 Sehemu ya wanahabari waliohudhuria hafla hiyo. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE

 Makamu Mwenyekiti wa Taswa Fc, Salum Jaba (katikati) na wadau, Boniface Wambura (kulia) na Mkangara...
 Adam A.K.A Baba Tau akipozi na mkewe....
 Kocha wa Taswa Fc, Ally Mkongwe (katikati) na wananetiboli wa Taswa.
 Meza hii ilipendeza sana na ilikuwa ni ya Wanataswa tu....
 Wanamuziki wa bendi ya Karunde wakishambulia jukwaa...
 Angel Michael na Somoe Ng'itu.....
 Kocha Mkuu wa Taifa Stars Boniface Mkwasa, na wadau....
 Baadhi ya wachezaji waliohudhuria hafla hiyo....
 Kocha Mkuu wa Taifa Stars Boniface Mkwasa, akipokea tuzo....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.