TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama
Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Ndugu Omary Abdallah Kigoda kuwa mgombea ubunge
wa Jimbo la Handeni Mjini.
Ndugu
Kigoda ameteuliwa kugombea nafasi hiyo ya ubunge baada ya kushinda kura za
maoni za marudio zilizofanyika Novemba 03, 2015.
Imetolewa na:-
Nape
Moses Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
ITIKADI NA UENEZI
04/11/2015
04/11/2015
No comments:
Post a Comment