Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimina na
Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan, wakati aliwapowasili kwenye Ukumbi wa
Ikulu jijini Dar es Salaam,leo asubuhi Okt. 6, 2015 kwa ajili ya kumwapisha
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, aliyemteua jana Okt 5, 2015 mara
tu baada ya kuapishwa rasmi. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha
George Masaju, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali,wakati wa hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo asubuhi Okt. 6, 2015.
Baadhi
ya ndigu jamaa na marafiki na watumishi wa Serikali waliohudhuria hafla hiyo ya
kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (wa tatu kushoto)
akiwa na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan (wa pili kushoto) Spika wa Bunge
Mstaafu, Anne Makinda (kushoto) Jaji Mkuu wa Serikali, Othman Chande (kulia)
wakiwa katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju,
baada ya kuapishwa leo wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,(kushoto)
akizungumza jambo na Jaji Mkuu wa Serikali, Othman Chande (katikati) wakati wa hafla fupi ya kumwapisha Mwanasheria
Mkuu wa Serikali iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment