Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,
akihutubia wakati wa hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na
Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es
Salaam jana Nov 7, 2015.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria hafla hiyo wakimsikiliza Makamu wa Rais Mama
Samia, alipokuwa akihutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,
akishiriki dua ya pamoja na baadhi ya viongozi, iliyoandaliwa na Kamati ya
Amani Tanzania, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jana
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, akizungumza wakati wa hafla hiyo,
alipokuwa akiomba dua maalumu.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadik, akizungumza wakati wa hafla hiyo
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akiagana na
baadhi ya wananchi waliohudhuria hafla ya kuliombea Taifa amani wakati akiondoka
ukumbini baada ya kuhutubia katika hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa
na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es
Salaam jana
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Kamanda Suleiman Kova, wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi
wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalumu ya kuliombea Taifa
Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam jana
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Libelata Mulamula, wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi wa
Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani,
iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam jana
Baadhi ya viongozi wakiwasili kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee
Makamu
wa Mwenyekiti wa CCM Taida Bara, Philip Mangula, azteta jambo na aliyekuwa
mgombea urais wa Chama chaTLP, Maximillian Lymo, wakati walipokuwa kwenye hafla
maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar
es Salaam jana
Sheikh Alhad Mussa, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa
dini ukumbini humo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana
na baadhi ya wananchi waliohudhuria hafla ya kuliombea Taifa amani wakati alipokuwa
akiwasili kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla
maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar
es Salaam jana
No comments:
Post a Comment