Habari za Punde

*AJALI HAINA KINGA, ILIKUWA INAELEKEA UBUNGO KUTOKEA BUGURUNI IMEGEUKA ILIKOTOKA

 Askari wa Usalama Barabarani na wananchi wa eneo la Ubungo River Side, wakiangalia gari dogo aina ya RavJ yenye namba za usajili T 585 DET iliyotumbukia mtaroni katika eneo hilo baada ya kuacha njia ilipokuwa ikijaribu kulipita Roli na kufunga breki za ghafla na kisha kugeuka ilikotoka na kutumbukia mtaroni hapo. Katika ajali hiyo dereva wa gari hilo alitoka salama.
 Mashuhuda wakiangalia ajali hiyo....
 Shuhuda akielezea kwa askari jinsi alivyoishuhudia ajali hiyo....
Askari akichukua data ili kupima ajali hiyo..

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.