Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping, wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano wa
Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa Forum) uliofanyika leo Dec 4,
2015 jijini Johannesburg. Mhe. Samia amemwakilisha Rais Dkt. John Pombe
Magufuli katika mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (mwenye
kitambaa cheupe) akiwa kwenye Mkutano
Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa Forum)
uliofanyika leo Dec 4, 2015 jijini Johannesburg. Mhe. Samia amemwakilisha Rais
Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo.
Baadhi
ya washiriki katika Mkutano huo kutoka nchi mbalimbali za Afrika waliohudhuria
ufunguzi wa mkutano huo leo jijini Johannesburg.

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan (kulia)
akiwa katika mazungumzo na Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi,
walipokutana kwenye ufunguzi wa Mkutano
huo Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa Forum)
uliofanyika leo Dec 4, 2015 jijini Johannesburg. Mhe. Samia amemwakilisha Rais
Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (mwenye
kitambaa cheupe katikati) akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wakuu wa Nchi za Afrika baada ya ufunguzi
wa Mkutano huo Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa
Forum) uliofanyika leo Dec 4, 2015 jijini Johannesburg. Mhe. Samia
amemwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Samia Shulu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini,
Radhia Msuya, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Olver Tambo jijini
Johannesburg jana Desemba 3, 2015 kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Tano
wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana Mwambata wa Kijeshi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini (Defence advisor) Brig. Gen Ibrahim A. Kimario, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Olver Tambo jijini Johanesburg jana Desemba 3, 2015 kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya.

No comments:
Post a Comment