Habari za Punde

*MJENGWA BLOG NDANI YA MTANDAO WA MABLOGA 18 AFRIKA ULIOZINDULIWA JOHANNESBURG

Mtandao wa mabloga 18 wa Sub-Saharan Africa; ‪#‎AfricaBlogging‬ . Jana umezinduliwa pale Johannesburg, Ni mtandao wa mabloga wa kimataifa utakaohusika zaidi na masuala ya kukuza demokrasia na uwajibikaji kupitia kazi za kublogi. Nimebahatika kuwa mmoja wa mabloga hao nikiwa na pia mjumbe wangu Chambi Chachage, tukiwakilisha Tanzania. Ukiwa na muda soma makala yangu ya kwanza kwenye mtandao huo;http://www.africablogging.org/time-for-girls-football/

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.