Habari za Punde

*KATIBU MKUU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJIMENTI YA OFISI W A MAKAMU WA RAIS.

  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Mbarak Abdulwakil akiongea na Wafanyakazi   katika kikao cha Menejimenti  Ofisini hapo.
Naibu Katibu Mkuu Ngosi Mwihava akiongea na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais na   kumkaribisha Katibu  Mkuu kuzungumza na Menejimenti hiyo.
Sehemu ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais waliohudhuria kikao cha Menejimenti wakimsikiliza Katibu Mkuu (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika Ofisini hapo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.