Raia wa Ujerumani (kulia) ambaye jina lake halikupatikana mara moja, ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kutaka kuitoro familia yake katika Hoteli ya Cate Dar es Salaam. Raia huyo alikuwa nchini na mkewe mwenye asili ya Afrika katika kipindi cha msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka,ambapo alijaribu kumtoroka mkewe na mtoto (4) na kuwaacha wakidaiwa deni la sh. 315,000 baada ya kuzuka ugomvi baina yao.
Mtoto wao (4) akisaidiwa kupandishwa katika Gari
Raia wa Ujerumani huyo akitaka kuruka toka katika Gari
Mke wa Raia wa Ujerumani wa pili (kulia) akiwa anaingia katika Gari kuelekea katika Kituo cha Polisi cha Msimbazi Dar es Salaam na wapili (kulia) ni kaka wa mwanamke wa Raia wa Ujerumani
Wananchi wakifatilia kwa karibu
No comments:
Post a Comment