Askari wakiwahoji waendesha pikipiki (wa pili na watatu kulia) waliogongana katika Barabara ya Morocco eneo la Bonde la Mkwajuni, Dar es Salaam, wakiwa eneo la ajali baada ya kugongana ambapo walikimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala na watatu kulia mkono inadaiwa umevunjika kwa juu ya maungio ya kiganja cha mkono wa kushoto na mguu wa kushoto kuwa na maumivu makali na wapili kulia maumivu ya mguu.
Mmoja wa Dereva wa Pikipiki (wa kwanza kulia) akikabidhi nyaraka zake kwa Askari ambaye alikuwa akienda kupata matibabu katika Hospitali ya Kairuki na kukimbizwa wote wawili katika Hospitali ya Mwananyamala
Dereva akitoa maelezo kwa Askari waliokua katika Bonde la Mkwajuni
Askari wakiangalia Pikipiki hizo zilizogongana...
No comments:
Post a Comment