Habari za Punde

*WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KULIOMBEA TAIFA

Mwenyekiti wa Good News for All Ministry, Askofu Charles Gadi akizungumza na waaandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mkutano wa maombi  siku ya Jumatano ya tarehe 20 Januari mwaka huu katika eneo la Soko la Samaki Feri ili kuomba Mungu  kuepusha ongezeko la joto nchini kushoto ni Katibu wa Good News For All Ministry Mchungaji Palemo Massawe. Picha na  Beatrice Lyimo Maelezo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.