Habari za Punde

*MABONDIA MADA MAUGO NA ABDALLAH PAZI WATAMBULISHWA KUZICHAPA MACHI 27

Kocha wa mchezo wa masumbwi, Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye pia ni mratibu wa pambano la ubingwa wa UBO Afrika akiwatambulisha mabondia Mada Maugo (kushoto) na Abdallah Pazi.Mabondia hao wanatarajia kupanda ulingoni siku ya sikukuu ya Pasaka Machi 27 uwanja wa ndani wa Taifa, kuwania ubingwa huo. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.