Mama Janeth Magufuli,akisalimiana na baadhi ya wananchi wakati wa hafla ya utoaji wa Misaada kwenye kituo cha kulelea wazee na watu wasiojiweza Bukumbi Mkoani Mwanza.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na watoto wakati wa hafla ya utoaji wa Misaada kwenye kituo cha kulea wazee na watu wasiojiweza Bukumbi Mkoani Mwanza.
No comments:
Post a Comment