Bondia Selemani Galile (kulia) akimshambulia bondia Ambokile Chusa, wakati wa pambano lao lililofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem. Pambano hilo la raundi sita lilimalizika kwa droo.
Bondia Mwinyi Muhina (kulia) akipambana na Godfre Sadiq wakati wa pambano lao. Sadiq alishinda kwa pointi.
Bondia Karage Suba (kushoto) akioneshana umwamba na Pius Kazaula wa Morogoro. Kazaula alishinda kwa T.K.O ya raundi ya pili baada ya Suba kusalimu amri kwa kunyoosha mikono juu.
Bondia Ibrahimu Maokola (kushoto) akichapana na Joseph Sinkala wa Mbeya wakati wa pambano lao. Maokola alishinda kwa pointi.
Bondia Ibrahimu Maokola (kulia) akichapana na Joseph Sinkala wa Mbeya wakati wa pambano lao. Maokola alishinda kwa pointi.
No comments:
Post a Comment