Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKABIDHIWA TUZO YA MSANII BORA AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili East Afrika (AMVCA) iliyofanyika Nchini Nigeria kutoka kwa mshindi wa Film hiyo Msanii Elizabeth Michael (Lulu) wakati wa hafla fupi iliyofanyika nyumbani kwa Makamu wa Rais, Oysterbay Dar es salaam leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Tuzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili Afrika iliyofanyika Nchini Nigeria kutoka kwa mshindi wa Film hiyo Msanii Single Mtambalike (RICHIE) wakati wa hafla fupi iliyofanyika Oysterbay Dar es salaam leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wasanii wa Film wa hapa Nchini baada ya kukabidhiwa  Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili East Afrika (AMVCA)  na Tunzo ya Kiswahili Afrika iliyofanyika Nchini Nigeria, hafla hiyo iliyofanyika leo Oysterbay Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wasanii wa Film wa hapa Nchini baada ya kukabidhiwa  Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili East Afrika (AMVCA)  na Tunzo ya Kiswahili Afrika iliyofanyika Nchini Nigeria, hafla hiyo iliyofanyika leo Oysterbay Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Filamu Nchini Single Mtambalike (RICHIE) na Elizabeth Michael (LULU) na Wasanii wengine baada ya kupokea Tunzo za wasanii hao walizoshinda Nchini Nigeria, hafla hiyo iliyofanyika leo Oysterbay Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Filamu Nchini Single Mtambalike (RICHIE) na Elizabeth Michael (LULU) na Wasanii wengine baada ya kupokea Tunzo za wasanii hao walizoshinda Nchini Nigeria, hafla hiyo iliyofanyika leo Oysterbay Dar es salaam. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.