Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama (watatu kulia mbele) akiongoza wanawake kufanya mazoezi wakati
wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja
vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga
Katibu Mkuu Wizara ya
Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga (katikati)
akifanya mazoezi ya kukimbia wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele
cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam. Kushoto
ni Mjumbe wa Baraza la Michezo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Bibi.
Zainabu Mbussi. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama akiongea na wanawake (hawapo pichani) walioudhuria tamasha
la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo
jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti Baraza la Michezo Taifa Bibi. Zaynab Matitu Vulu ambaye pia ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Pwani akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama akirusha mpira kuashiria ufunguzi wa mchezo wa mpira wa
pete wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake
katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam. Anayezuia mpira ni Mjumbe wa
Baraza la Michezo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Bibi. Zainabu Mbussi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wapili kulia) akipata maelekezo kuhusu michezo mbalimbali iliyoandaliwa kutoka kwa Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la Michezo la Taifa Bw. Mohamed Kiganja (wapili kulia) wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Wanamichezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kushiriki michezo mbalimbali wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Wanamichezo kutoka
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), wakijiandaa kushiriki mchezo wa
kuvuta kamba ambapo walishindana na Wanamichezo kutoka Wizara Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya
wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Wanamichezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiwavuta wapinzani wao kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) mbalimbali wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye
ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akipokea fomu ya kujiunga kwa hiari katika Mfuko
wa Hiara wa PSPF kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu wakati wa
tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya
Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha timu shiriki ya wanawake....
Soka la wanawake likiendelea uwanjani hapo wakati wa Tamasha hilo.....
Vijana wakichuana katika mbio za magunia....
Mchezo wa Kamba......
Kinamama watumishi wakichuana kwa mbio...
Kina mama wakichuana kuruka Kamba.....
Wanafunzi wa kike wakichuana kuvutana Kamba.....
Kikosi cha timu pinzani ya wanawake.......
Mchezo waNetiboli ukiendelea...
Picha
na:
Beatrice Lyimo na Genofeva Matemu
No comments:
Post a Comment