Habari za Punde

*BREAKING NEEEEEWZ!!!!! LIUMBA AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania BOT, Amatus Liumba, amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam,alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.  Msiba upo nyumbani kwake Mikocheni B jijini Dar esSalaam. 

HABARI KAMILI ZITAWAJIA HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.