Habari za Punde

*BASI LA MWENDO KASI LAGONGWA NA GARI NDOGO DAR


 Basi la Mwendo kasi lenye namba za usajili T968 DGV likiwa limeharibika baada ya kugongwa na gari dogo aina na Gx100 lenye namba za usajili T 295 BGC kwenye makutano ya Barabara ya Jamhuri na Morogoro leo mchana. Mashuhuda wa ajali hiyo waliutonya mtandao huu kuwa chanzo cha ajali hiyo, ni Dereva wa gari ndogo aliyekuwa akivuka barabara hiyo ya mwendo kasi huku akiongea na simu na akiangalia upande mwingine wa barabara.
 Gari hilo likiwa limeharibika baada ya kugongwa
 Gari hii pia ilikumbwa na dhoruba hilo baada ya kubamizwa na gari hilo dogo lililogongana na Basi la mwendo kasi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.