Habari za Punde

*EID MURAKA WASOMAJI WOTE WA MAFOTO BLOG TUSHEREHEKEE KWA AMANI

Mtandao huu wa Sufianimafoto, unapenda kuwatakia wasomaji wake wote Ndani na nje ya Tanzania, Sikukuu njema ya Eid El-Fitri, Mungu awalinde na awaongoze kwa kila jambo Inshaallah. Ujumbe wa leo kwa waliochelewa Msisahau kutoa Dhaka kabla ya kwenda Msikitini asubuhi, Inshaallah. EID MUBARAK

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.