Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
akiuliza swali kwa mjasiliamali wakati alipotembelea banda la wanawake
Wajasiliamali (WIPE), Viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara vya
Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kuhusiana na uzazi wa mpango, wakati alipotembelea banda la
Wanawake na Maendeleo (WIPE), Viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara
vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi wa VETA kanda ya Dar es Salaam Bw. Habibu
Bukko wakati alipotembelea banda la VETA katika Viwanja vya Kimataifa vya
Maonesho ya Biashara vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam mapema hii leo. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment