Habari za Punde

*NEWS ALERT: SERIKALI YAFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA LEO

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwatangaza Makatibu Tawala wa Wilaya wateule katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Raisi - Utumishi - jijini Dar es salaam leo jioni. Kulia ni Katibu mkuu wa Utumishi Dkt. Laurian Ndumbalo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.