Meneja
Uhusinao wa mamlaka ya Chakula naD awa (TFDA) Bi. Gaudensia Simwanza (kulia)
akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mkakati wa
Mamlaka hiyo kudhibiti madahara ya Dawa ikiwa ni moja ya majukumu yake ili kuhakikisha
kuwa wananchi wanakuwa Salama.kushoto ni Afisa Usajili wa Dawa
kutoka TFDA Dkt. Alex Nkyamba.
Afisa Usajili wa Dawa kutoka TFDA Dkt. Alex Nkyamba akionesha kwa waandishi wa habari fomu inayotakiwa kujazwa na wananchi pale wanapopata madhara yatokanayo na dawa Leo Jijini Dar es salaam wakati wa mkutano na vyombo vya habari.Kulia ni Afisa Uhusinao wa mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bi. Gaudensia Simwanza
Baadhi ya Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Picha na Maelezo
***************************************
Serikali
imedhamiraia kuendelea kuwalinda wananchi dhidi ya madahara yatokanayo
na Matumizi ya Dawa kwa lengo la Kulinda afya ya Jamii.
Kauli hiyo imetolewa na Meneja Uhusiano wa
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bi Gaudensia Simwanza wakati wa mkutano na
Waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.
Akifafanua Simwanza amesema kuwa Mamlaka hiyo inao mfumo wa ufuatiliaji wa
Usalama wa Dawa ambao Kitaalamu unajulikana kama (Pharmacovigince) unaojumuisha
utambuzi,tathmini,uelewa na udhibiti
No comments:
Post a Comment