Miss Dar Indian Ocean aliyemaliza muda wake, Camilla John (mwenye gauni ya bluu) akimvisha taji Mshindi wa Mashindano hilo la Dar Miss Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo (katikati) baada ya kuibuka mshindi katika shindano hilo lililofanyika jana usiku kwenye Ukumbi wa MRC Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkuregenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Francis Songoro akiwasilisha hotuba kwa niaba ya Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura.
Miss Dar Indian Ocean aliyemaliza muda wake, Camilla John (katikati) akimvisha skafu Mshindi Miss Tanzania Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo (kushoto) baada ya kuibuka mshindi katika mashindano hayo.
Miss Dar Indian Ocean aliyemaliza muda wake, Camilla John (kulia) akipiga picha ya pamoja na Miss Dar Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo.
Miss Tanzania Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Tano bora katika shindano hilo.
Mshindi wa Miss Dar Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na warembo watatu bora.
Tano Bora.
Kaimu Mkuregenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Francis Songoro (kulia) akimpongeza Miss Dar Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo baada ya kuibuka mshindi wa shindano hilo.
No comments:
Post a Comment