Waziri Mstaafu Edward Lowassa, akiteta jambo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye,wakati wakiwa katika shughuli za msiba huo.

Waziri Mstaafu Edward Lowassa, akitoa heshima zake za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Joseph Senga, aliyekuwa mpiga picha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye Uwanja wa Tp Manzese Uzuri jijini Dar esSalaam, leo asubuhi. Marehemu Senga alifariki dunia Wiki iliyopita huko nchini India alikokuwa amekwenda kutibiwa maradhi ya Moyo, na baada ya shughuli hiyo ya kuaga mwili marehemu amesafirishwa kuelekea Wilaya ya Sumve mkoa wa Mwanza kwa maziko.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, akitoa heshima zake za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Joseph Senga.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, akitoa heshima zake za mwisho.
Mwenyekiti wa Chedema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, akitoa heshima zake za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Joseph Senga.
Baadhi ya ndugu Jamaa na marafiki wakitoa heshima zake za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Joseph Senga.
Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea, akitoa heshima zake za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Joseph Senga.
Baadhi ya ndugu Jamaa na marafiki wakitoa heshima zake za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Joseph Senga.
Baadhi ya ndugu Jamaa na marafiki wakitoa heshima zake za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Joseph Senga.
Baadhi ya ndugu Jamaa na marafiki wakitoa heshima zake za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Joseph Senga.

Sufianimafoto, akitoa heshima za mwisho
Sufianimafoto, akitoa heshima za mwisho
Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Senga.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, (katikati) akiwa na Waziri Mstaafu, Edward Lowassa (kushoto) na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. katika shughuli za msiba huo.
Meneja Mawasiliano wa TCRA, Innecent Mungi, akitoa salamu za rambirambi.
Mpiga picha mkuu wa Kampuni ya The Guardian Seleman Mpochi, akitoa salamu za rambi rambi.
Mbunge wa Kibamba, John Mnyika, akitoa salamu za rambi rambi
Said Kubenea, akiwa na mawazo
Mjane wa marehemu na badhi ya watoto wake....
Waziri Mstaafu Edward Lowassa, akiteta jambo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye,wakati wakiwa katika shughuli za msiba huo.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akitoa salamu za rambi rambi.....
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye,akitoa salamu za rambi rambi.

No comments:
Post a Comment