Habari za Punde

*MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA CCM YAPAMBA MOYO MKOANI DODOMA, KINANA AKAGUA UKUMBI WA MKUTANO MKUU LEO

 Katibu wa NEC, Itukadi na Uenezi, Nape Nnauye na Msemaji Mkuu wa CC, Christopher Ole Sendeka wakimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kukagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016. 
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016. Kulia ni Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016. Kulia ni Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na baadhi ya viongozi wakitazama paa la Ukumbi, Kinana alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka kwenye banda la Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016. 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akijadilijambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi, alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016. Katikati ni Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka. 
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akijadili jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi, baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto kukagua ukumbi huo. 
Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, baada ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (wapili kulia), kukagua ukumbi huo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi.  Picha na Bashir Nkoromo.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Abdulrahman Kinana akielekeza jambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara, Ndg. Rajab Luhwavi (mwenye koti) pamoja na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM,Ndg. Nape Nnauye (kushoto), wakati wa maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM, unaotarajiwa kufanyika Julai 23, 2016 kwenye Ukumbi wa CCM Dodoma Convention Centre, Mjini Dodoma leo. Alie nyuma ya Katibu Mkuu, ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Zanzibar, Ndg. Vuai Ali Vuai
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Abdulrahman Kinana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara, Ndg. Rajab Luhwavi wakiweka sawa moja ya Vibao vitakavyotambulisha Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutoka Mikoa yote nchini, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM, unaotarajiwa kufanyika Julai 23, 2016 kwenye Ukumbi wa CCM Dodoma Convention Centre, Mjini Dodoma leo. 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Abdulrahman Kinana akikagua Ukumbi wa CCM Dodoma Convention Centre, kutakakofanyikia Mkutano Mkuu wa CCM, unaotarajiwa kufanyika Julai 23, 2016.
Maandalizi yakiendelea.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.