Habari za Punde

*MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA WATENDAJI WAKE KUSAMBAZA MAPIPA YA KUWEKEA TAKA BARABARA YA KIVUKONI DAR

Mkuu wa wilaya ya Illala Mh. Sophia Mjema akiongozana na Edward Mpogolo Katibu Tawala wa wilaya hiyo wakati walipoongoza zoezi la kusambaza mapipa ya kuwekea takataka kwenye barabara ya Kivukoni jijini Dar es salaam kwa ajili ya udhibiti wa utupaji wa taka hovyo.
Mkuu wa wilaya ya Illala Mh. Sophia Mjema akiongozana akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala juu ya mpangilio wa uwekaji wa mapipa ya kuhifadhia takataka kwenye barabara ya Kivukoni jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.