Ibra Poza akimlisha keki mkewe Saade kwa staili ya Mahaba,wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Buffalo uliopo Mbezi Beach jijini Dar essalaam.
Mhariri wa Michezo Gazeti la Nipahse, Amou Hassan, akimlisha keki mkewe Arafa kwa staili ya Mahaba,wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Buffalo uliopo Mbezi Beach jijini Dar essalaam.
Mzushi na Mzushi wakifurahia jambo
No comments:
Post a Comment