Mshambuliaji wa Kimataifa na Nahodha wa timy ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samaata, Jana
usikualiendelea kung'aa kwa kuendelea kutupia nyavuni baada ya kutupia bao la pili katika dakika ya 79 kati ya mawili wakati timu yake ya Genk ilipocheza mchezo wa hatua za awali kuwania kucheza 'Europa
Ligue' dhidi ya Buducnost Podgorica.
Bao la kwanza lilifungwa na Neeskens Kebano katika dakika ya 17 kwa mkwaju wa penati.
Katika mchezo
huo Genk waliibuka washindi kwa mabao 2-0

No comments:
Post a Comment