Baadhi ya wachezaji wa timu ya Medeama ya Ghana wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa, Julius Nyerere Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shilikisho Afrika CAF dhidi ya Yanga Mchezo unaotarajia kuchezwa keshokutwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Aidha timu ya Yanga imetangza kuwa viingilio vitakuwa ni 3,000 na 10,000. timu ya Yanga imeshusha viingilio hivyo kwa lengo la kufanya mashabiki wengi wahudhurie mchezo huo.
PICHA NA KHAMISI MUSSA
No comments:
Post a Comment