Habari za Punde

*TAARIFA KAMILI KUHUSU MSIBA WA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA KILINDI, BEATRICE SHELUKINDO

Familia ya Bwana William H. Shelukindo, Inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Beatrice Matumbo Shelukindokilichotokea siku ya Jumamosi 2/7/2016 huko Arusha.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu 8 Galu Street, Ada Estate, Dar es salaam na huko Arusha.
Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano Tarehe 6/07/2016 alasiri Mjini Arusha.
Bwana ametoa Bwana, ametoa Jina la Bwana lihimidiwe

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.