Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari( kushoto) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea na Wahariri wa vyombo vya habari mbalilmbali hapa nchini kuhusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na mamlaka hiyo kuelekea katika mipango yake ya mwaka wa fedha 2016/17.Pamoja na kufahamiana na wahariri hao. Mkutano huo uliofanyika leo makao makuu ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa huduma za mamlaka ya TCAA Mbutolwe Kabeta.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari( katikati )akiongea na Wahariri wa vyombo vya habari mbalilmbali hapa nchini kuhusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na mamlaka hiyo kuelekea katika mipango yake ya mwaka wa fedha 2016/17.Pamoja na kufahamiana na wahariri hao. Mkutano huo uliofanyika leo makao makuu ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari( katikati )akiongea na Wahariri wa vyombo vya habari mbalilmbali hapa nchini kuhusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na mamlaka hiyo kuelekea katika mipango yake ya mwaka wa fedha 2016/17.Pamoja na kufahamiana na wahariri hao. Mkutano huo uliofanyika leo makao makuu ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mkurugenzi wa huduma za mamlaka ya TCAA Mbutorwe Kabeta
Kaimu mwenyekiti wa baraza la wahariri nchini ,Deodatus Balile akiuliza swali wakati wa mkutano wa Wahariri wa vyombo vya habari mbalilmbali uliondaliwa na Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA0, kuhusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na mamlaka hiyo kuelekea katika mipango yake ya mwaka wa fedha 2016/17.Pamoja na kufahamiana na wahariri hao. Mkutano huo uliofanyika leo makao makuu ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment