Habari za Punde

*WANACHAMA WA YANGA WACHANGA NA KUMKABIDHI PESA ZA MATIBABU MSEMAJI WA SIMBA, HAJI MANARA

 Baadhi ya Wanachama wa Yanga wakiongozwa na Msemaji wao, Jerry Muro wakimabidhi Msemaji wa Simba, Haji Manara (katikati) Pesa taslimi Shilingi Milioni moja na Elfu Hamsini (1,050,000) wakati walipomtembelea nyumbani kwake usiku huu. Wanachama hao wametoa msaada huo kwa ajili ya kumsaidia kwenye matibabu yake ya jicho.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.