Habari za Punde

*YANGA WAENDELEA KUJIFUA KUWASUBIRI MEDEAMA JUMAMOSI TAIFA

 Wachezaji wa Yanga wakiendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterani, leo asubuhi ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuelekea mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Medeama utakaopigwa siku ya Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.