Habari za Punde

*WAZIRI NAPE AFUNGUA MASHINDANO YA MAGARI AFRIKA MASHARIKI 'EAST AFRICAN SAFARI RALLY'

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa ameweka bendera tayari kwa ajili ya kuruhusu magari kuondoka katika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi mashindano ya magari ya Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa amenyanyua bendera kuruhusu magari kuondoka katika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea zawadi ya maua mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam kufungua mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifurahi jambo pamoja na Rais wa Automobile Association of Tanzania Bw. Nizar Jivani(Kulia), Kaimu Katibu Mkuu Baraza la Michezo la Taifa(BMT) Bw. Mohamed Kiganja (wa tatu kulia) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
 Kaimu Katibu Mkuu Baraza la Michezo la Taifa(BMT) Bw. Mohamed Kiganja akiwa katika moja ya magari yatakayotumika katika mshindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
 Moja ya timu  kutoka Uganda wakisubiri kufunguliwa kwa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
Baadhi ya magari yakitoka katika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kufunguliwa rasmi mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu. Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.